Lissu:95% ya Madini Yanaibwa Hapa Nchini, Rais anahangaika na 5% tu
Tundu Lissu amesema rais anamiinisha watu uongo na ripoti ya Profesa Mruma ni takataka ambayohaitamaliza hata dk. 15 mahakamani.
Amesema makontena yaliyoshikiliwa bandarini yana 5% pekee ya dhahabu yetu na 95% ya dhahabu wana extract mgodini na ndipo wanapotuibia lakini Magufulihajaona kama tunaibiwa kwa sababu tu wana extract mchanga nchini
No comments