Breaking News

Mavugo yuleeeeeeee bai bai simba.. !


Staika wa timu ya taifa ya Burundian Laudit Mavugo amerejea klabu yake ya zamani ya AS Kigali iliyopo nchini Rwanda, Mavugo aliekua akikipiga katika klabu ya Simba inayoshiriki ligi kuu Tanzania.
Mavugo, miaka 23 aliitumikia klabu hiyo ya Simba kwa miaka miwili,mavugo aliondoka Dar es Salaam kwa mapumziko ya ya likizo.

Download app hii moja kwa moja kwenye kifaa chochote cha Android ili kupata habari kutoka MASANGULATZ.COM 👉👉 https://play.google.com/store/apps/details?id=com.masangula

No comments