NI mchezaj mwengine wa soka anayekipiga kwenye Klabu ya Chelsea Kourt Zouma ametinga ndani ya mji mtukufu wa Makka kwa ajili ya Ibada ya hija. Kwa mwaka huu atakuwa ni mwanasoka wa pili kutokea Uengereza baada ya Poul Pogba.
No comments