Waandishi wamewasili Korea Kaskazini kushuhudia kubomolewa mitambo ya Nyuklia
Serikali ya Korea Kaskazini hii leo May 23, 2018
imepokea orodha ya waandishi wa habari kutoka Korea Kusini ambao
wataruhusiwa kushuhudia mpango wa kufungwa kwa eneo la kufanya majaribio
ya nyuklia.
Wizara ya Jumuiya ya Seoul
imesema katika taarifa yake kwamba imetuma orodha ya waandishi wa
habari nane wa Korea Kusini ambao watatembelea eneo la majaribio ya
nyuklia ya Punggye-ri ambayo hatimaye litabomolewa.
No comments