Breaking News

TETESI ZOTE ZA USAJILI BARANI ULAYA LEO IJUMAA YA APRIL 06-2018


lTETESI ZOTE ZA USAJILI BARANI ULAYA LEO IJUMAA YA APRIL 06-2018

Manchester United wanahakika ya kumsajili kiungo kutoka Brazil, Willian kwa paundi milioni 30,wakati kiungo Mhispania Juan Mata anatarajiwa kuondoka Old Trafford (Sun)

Kiungo wa Liverpool, Muuingereza James Milner amesema hata katisha ustaafu wake kutoka mechi za kimataifa. (Times)

West Brom hawana mipango ya kumteua mkuu wa Ipswich, Mick McCarthy kama meneja wao baada ya kuondoka kwa Alan Pardew wiki iliyopita.(Express and Star)

Aliyekuwa mshambulizi wa Liverpool atakuwa mejea wa timu ya Feynoord ya chini ya miaka 19 msimu ujao. (mtandao wa Feynoord)

Kiungo wa Liverpool na Ujerumani Emre Can, 24, aweza kosa kucheza katika muda uliobakia na hata kombe la dunia kwa sababu ya tatizo la mgongo (Mirror)

Qatar itashiriki kama nchi mualikwa katika michuano ya Copa America 2019 (Globo Esporte)

Coleman anasema atabaki kama meneja wa Sunderland hata kama Black Cats wakishushwa na kuwekwa League One. (Mail)

Msahmbulizi wa Watford Richarlison, 20, amehakikishwa nafasi yake katika Vicarage Road hata baada ya kuachwa kwa kushindwa kufunga goli yoyote katika michezo 21.(Mirror)

Aliyekuwa Meneja wa Dortmund Thomas Tuchel atachukua nafasi ya Unai Emery kama mkuu wa Paris St-Germain kwenye msimu ujao. (ESPN)

Mshambulizi wa Stoke, Saido Berahino, 24, ametolewa kutoka kundi la kwanza kwenye timu baada ya kutokea akiwa amechelewa kwenye mechi ya chini ya miaka 23, siku ya Jumatatu (Telegraph)

No comments