Breaking News

NI MOHAMED SALAH AWABWANGA VIGOGO ATWAA TUZO HII

Baada ya mechi za Ligi ya mabingwa Ulaya hatua ya robo fainali kupigwa siku ya Jumanne na Jumatano , jana kilitoka kikosi bora cha wachezaji kumi na moja cha wiki.

Na leo hii Mohamed Salah amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa wiki ya ligi ya mabingwa Ulaya baada ya kujikusanyia kura za Asilimia 57.

Upigaji wa Kura umeamua , sio kamati ya ufundi ya UEFA.

No comments