Breaking News

MAMBOSASA ATEMBELEA ASKARI RUFIJI, AKABIDHI ZAWADI

Kamishna Mambosasa (kulia) akisalimiana na mmoja wa askari wa Wilaya ya Rufiji.

…Akizungumza na maofisa mbalimbali wa jeshi lake.

…Akiwa na baadhi ya maofisa wa ngazi za juu wa Wilaya ya Rufiji na Mkoa wa Dar es Salaam.

 

KAMISHNA wa Kanda Maalum Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa, leo amefanya ziara katika Mkoa wa Pwani Wilaya ya Rufiji na kuzungumza na maofisa, wakaguzi na askari.

Mambosasa ameahidi kuendelea kushirikiana nao katika kuzuia na kupambana na uhalifu katika ukanda huo.
Aidha amekabidhi zawadi ya mbuzi wanne na vyakula kwa askari hao vyenye thamani ya milioni 1.5.

No comments