Mbunge wa Songea Mjini, Leonidas Gama amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika Hospitali ya Peramiho, Songea Gama enzi za uhai wake amewahi kuwa Mkuu wa wilaya za Muheza, Nachingwea, Newala, Mbeya na Ilala kabla ya kuwa Mkuu wa mkoa Kilimanjaro.
No comments