Breaking News

TAIFA STARS NA BENIN ZATOSHANA NGUVU, HAKUNA MBABE


Timu ya taifa ya Tanzania imeilazimisha sare ya moja-moja Benin katika mechi ya kirafiki iliyopigwa Benin, shukrani kwa goli la Maguri
Taifa Stars imewalazimisha sare ya 1-1 wenyeji, Benin katika mchezo wa kirafiki uliofanyika Uwanja wa l'Amitie, au Urafiki mjini Cotonou ambao ulionyeshwa moja kwa moja na Televisheni ya Azam. 

Katika mchezo huo uliochezeshwa na marefa wa nchini humo, Ligali Praphiou aliyesaidiwa na Bello Razack na Koutou Narcisse, hadi mapumziko wenyeji The Squirrels, walikuwa mbele kwa bao 1-0.

No comments