Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli leo anatarajia kuwatunuku vyeti Maalum Watu wote waliokuwa kwenye kamati ambao wamefanikisha makubaliano kati ya Serikali na Kampuni ya Uchimbaji madini ya Barrik Gold Corporation, tukio hilo litafanyika Ikulu leo.
No comments