Breaking News

SERIKALI YAMJIBU DANGOTE

Serikali kupitia Waziri Mwijage wamjibu Mfanyabiashara Aliko Dangote:
.
> Yasema hazifahamu sheria zilizopo zinazoongoza sekta ya uwekezaji
.
> Ni baada ya Dangote kudai sera za Rais Magufuli zinawatisha wawekezaji na si jambo zuri kwani mmoja akitishwa wengine watakimbia.

No comments