Breaking News

Zari, Wema Sepetu, Jokate, Dj Fetty, Irene, Shilole Walivyoshikwa na Wimbo Mpya wa Diamond 'Hallelujah'

Si Zari The Bosslady Lady pekee aliyeukubali wimbo mpya wa Diamond Platnumz aliowashirikisha Morgan Heritage, hata maex wa muimbaji huyo wameuzimia. Wema Sepetu, Jokate Mwegelo waliowahi kuwa na uhusiano na Diamond nao wanauimba. Irene mrembo wa video ya Kwetu aliyewahi kudaiwa kuwa side chick wa Mondi naye ameunga mstari. Mastaa wengini ni pamoja na Shilole na Dj Fetty.. VIDEO: 


No comments