NAFASI 25 ZA KAZI HARMASHAURI YA TABORA
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Tabora Uyui anawatangazia nafasi za kazi kwa wananchi wote wenye sifa za kuomba nafasi za kazi kama inavyoonyesha hapo chini
Mtendaji wa Kijiji III (Village Executive) nafasi 25
A. SIFA ZA WAOMBAJI
Waombaji wawe na Elimu ya Kidato cha Nne au cha sita namafunzo ya Astashahada au chetl katika moja ya fani zifutazo:-
•Utawala
•Sheria
•Elimu ya .Jamil
•Usimamizi wa Fedha
•Maendeleo ya Jamii na Sayansi ya Jamii kutoka chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali.
B. KAZI NAMAJUKUMU YA MTENDAJI WA KIJJJI III
•Kuratibu na kueirnarnia upanqa]! wa mipango ya maerideteo ya Kijiji.
•Kusimamia ulinzi na Usalarna wa Raia na mali zao
•Kukusanya mapato ya Halmashauri ya Kijiji
•Kusimamia, kukusanya kUhifadhi kumbukumbu zote na nyaraka za ViJiji
•Katibu wa Mikutano ya Halmashauri ya Kijiji
•Kuslmarnia utungaji wa sheria ndogo za Vijiji
•Afisa Masuuttrra MtendaJi Mkuu wa Serikali ya Kijiji
•Kupokea kusikiliza na kutatua rnatatarniko na migogoro ya wananchi
C.MSHAHARA
•mshahara utatolewa na serikali kulingana na ngazi ya mshahara wa kada na cheo ambacho mwombaji ameajiriwa
MAELEZO YA JUMLA
- Barua ya maombi iambatane na nakala za vyeti vyake vya elimu ya sekondari na vyuo pamoja na taarifa binafsi (CV)
- Muombaji ambandike picha 2 za passport size katika barua yake ya maombi
- hakikisha unaweka namba ya simu na anwani ya posta
Mwisho wa kutuma maombi haya ni tarehe 22/09/2017 saa 9.30.Alasiri.
Maombi yote yatumwe kwa anwani ifuatayo:-
Mkurugenzi Mtendaji,
Halmashauri ya Wilaya ya Tabora,
S.LP.610,
Tabora.
No comments