NAFASI 2 ZA KAZI UDEREVA WILAYA YA NKASI
Mkurugenzi Mtendaji wa Wilaya ya Nkasi kupitia kibali cha ajira chenye kumbu Na. FA170/375/01/46 Cha tarehe 27 Julai anawatangazia wananchi wote wenye sifa kuomba nafasi ifuatayo
DEREVA DARAJA LA II NAFASI NAFASI 2
SIFA ZA MWOMBAJI
Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha 4 au 6 wenye leseni daraja la E na C1 ya uendeshaji magariawe na cheti cha majiribio cha ufundi daraja lka II pia awe amehudhuria mafunzo ya msingi yanayotolewa na chuo cha ufundi stadi VETA au chuo kingine kinachotambuliwa na serikali mwenye ujuzi wa ufundi atapewa kipaumbele
MAJUKUMU
- kukagua gari kabla na baada ya safari ili kubaini hali ya uslama wa ari
- kuwapeleka watumishi maeneo mbalimbali kwenye safari za kikazi
- kufanya matengenezo madogo madogo ya gari
- kukusanya na kusambaza nyaraka mbalimbali
- kujaza na kutunza taarifa za usafiri katika daftari la safari
- kufanya usafi wa gari
MSHAHARA
Ngazi ya mshahara ni TGOS sawa na 300,000
MAHASRTI KWA UJUMLA
i/ waombaji wawe raia wa Tanzania na umri kati ya 20 hadi 45
ii/ waombaji waambatanishe cheti cha kuzaliwa
iii/ mwaombaji waambatanishe maelezobinafsi, pamoja na anuani, namba za simu za kuaminika pamoja na majina ma 2 ya wadhamini
iv/ maombi yaambatane na vyetu vya taaluma
v/testimonials, provisionals havitakubaliwa
vi/ waombaji waliosoma nje wahakikishe vyeti vyao
vii/ maombi yaandikwe kwa kingereza au kisahili
viii/ waombajiwaandike namba zao za simu za uhakika kwenye barua zao
maombi yatumwe kwa anuani ifuatayo
MKURUGENZI MTENDAJI (W),
S.L.P 2,
NAMANYERE - NKASI
Mwisho wa kutuma mombi haya ni tarehe 20/09/2017
No comments