MATOKEO YA GAME 8 ZA CHAMPIONS LEAGUE SEP 27, 2017
Club ya Chelsea ya England usiku wa September 27 2017 ilikuwa nchini Hispania kucheza mchezo wake wa hatua ya Makundi wa UEFA Champions League dhidi ya mwenyeji wao Atletico Madrid katika uwanja wa Wanda Metropolitano.
Pamoja na Chelsea kuwa ugenini dhidi ya Atletico Madrid, wamefanikiwa kupata ushindi wa magoli 2-1, Atletico Madrid ndio walikuwa wa kwanza kupata goli dhidi ya Chelsea dakika ya 40 kwa mkwaju wa penati uliyopigwa naAntoinne Griezmann.
Dakika ya 60 Alvaro Morata akafunga goli la kuisawazishia Chelsea kabla ya dakika ya 90 Michy Batshuayi kufunga goli la ushindi kwa Chelsea na kufanyaChelsea kuondoka na point zote tatu kutoka katika uwanja wa Wanda Metropolitano.
No comments