Breaking News

LIVE KUTOKA IKULU: RAIS MAGUFULI AKABIDHIWA IPOTI YA ALMASI NA TANZANITE


Baada ya jana kamati mbili za bunge kukabidhi ripoti mbili za makinikia ya almasi na biashara ya Tanzanite kwa spika kisha yeye kumkabidhi waziri mkuu, leo zinafika mezani kwa Rais Ikulu. Waziri mkuu, Kassim Majaliwa jana alisema pamoja na uwezo alionao wa kuchukua hatua, anaheshimu sheria na kumpelekea mkuu wa nchi ili wachukue hatua.
Ripoti imesheheni majina mengi kwenye siasa za Tanzania baadhi wakiwa bado kwenye nyadhfa mbalimbali kwenye serikali ilhali wengine ni msumari wao wa pili baada ya ripoti za mwanzo kuwatuhumu. Fuatana nami kutoka Magogoni kujua yatakayojiri angalia video hii hapa chini

No comments