Breaking News

FURSA KWA VIJANA WA KIKE NA KIUME


The foundation for civil society ni taasisi inayohusika na vijana (USHILIKI NA NA USHIKISHWAJI KWA VIJANA) imeandaa tamasha la vijana kwa madhumun ya kusaidia vijana na kutoa fulsa kwa vijana wa aina zote wakike na kiume  
        ASS, COORDINATOR; Betty julius
Taasisi hiyo inayozaminiwa na (T.E.E.O) Tanzania youth enterprenushirp and empowerment organization) Leo imeandaa tamasha la vijana katika maeneo ya keko juu
TIMU YA VIJANA YA MSUFINI

DHUMUNI LA TAASISI HII

Lengo na madhumuni  ushilika na ushilikishwaji wa vijana katika kuunda na kutekeleza Sera za maendeleo no muhimu kwa maendeleo endelevu ya vijana 

TIMU YA VIJANA YA KEKO YOUTH


Mratibu wa taasisi hiyo Girbert Daniel amezungumzia fulsa zinazotolewa katika taasisi 
COORDINATOR; Girbety Daniel

1. Kushilikisha kuelewa na ushiliki na ushilikishaji wa vijana katika ngazi ya mtaa na kata kufanya maamuzi ya maendeleo yao.

2. Kuwasaidia vijana kufikia wa maendeleo wa vijana katika ngazi zao za wilaya.

3. Kuongeza kipato cha vijana kupitia ujasilia mali 


No comments