Breaking News

HARMO RAPPA KIBOKO WA MABISHOO NDIO BASI TENA


KIBOKO WA MABISHOOOO....CHARIIIII....

Msanii wa bongo freva aliyekuwa anakuja kwa kasi mbio zake zimefikia ukingoni baada ya kukosa kiki na kuamua kukaa kimya msanii huyo mpenda kiki  ambaye amefanya ngoma zaidi ya tatu Kimemsibu nini? Kama una ubuyu wowote funguka hapo kuhusu ukimya wake 



No comments