RAIS MAGUFULI ATEUA MWENYEKITI MPYA BODI YA WAKURUGENZI TRA

Prof. Florens Luoga
IKULU: Rais Magufuli amemteua Prof. Florens Luoga kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi TRA kuchukua nafasi ya Bernard Mchomvu ambaye uteuzi wake ulitenguliwa na bodi kuvunjwa.

No comments