Breaking News

KINACHO CHELEWESHA USAJILI WA RASTA KWENDA YANGA CHA WEKWA WAZI NA YANGA KUFUNGUKA HAYA

Kumbe kinachochelewesha Rasta wa Yanga Papy Kabamba Tshishimbi kusaini Mkataba Licha ya Kuwa Kila Kitu kimekaa sawa ikiwa ni pamoja na Makubaliano na Mchezaji huyo ni suala la Mkataba wake na Klabu yake ya Mbabane Swallows bado Haujaisha.

Mkataba kati ya Mbabane na Tshishimbi Unamalizika Mwezi wa 10 Mwaka Huu lakini Yanga Kupitia kwa Mwenyekiti wa kamati ya Usajili ndugu msomaji wa Msindiforums amesema Leo watafanya mazungumzo ya Mwisho mwisho na Mchezaji huyoili kujua kama Watavunja Mkataba wake, au Watasubiri Mpaka Mkataba wake Uishe.

Lakini Kuonyesha Kuwa Yanga Hawashindwi Kuuvunja Mkataba huo ili Tu kumpata kwa Wakati Nyika amesema "Yanga ni Taasisi Kubwa haiwezi kukosa pesa ya Kuvunja mkataba wa Tshishimbi " Nyika ameonekana kutokuwa Tayari Kumsubiri mpaka amalize Mkataba wake na badala yake Wanajipanga Kuvunja Mkataba wake ili Tshishimbi atue Jangwani. 

No comments