Congo yatangaza kumalizika kwa maradhi ya Ebola
DR Congo imetangaza kumalizika kwa maradhi ya Ebola yaliyozuka katika nchi miezi miwili iliyopita na kusababisha vifo vya watu 4.
Congo ilifanya tangazo hilo siku ya Jumamosi baada ya kukaa kwa siku 42 bila ya kesi mpya ya maradhi hayo kutorekodiwa.
Tangazo hilo lilifanywa na waziri wa afya wa DR Congo Oly Ilunga.
No comments