Amani wa Kenya akana kumzalia mtoto AY
Msanii Wa kike Mchini Kenya ambaye aliripotiwa kuwa na Mahusiano ya kimapenzi na Msaa Ay wa Tanzani kwa Muda mrefu amekanusha uvumi kuwa amemzalia mtoto msanii huyo.
Amania amesema kuwa taarifa hizo za uvumi na haina ukweli na kwamba ni za muda mrefu sasa.
amani Amesema kuwa yeye na Ay wamekuwa wapenzi kwa muda wa miaka 10
No comments