Breaking News

Wahariri kupinga kufungiwa kwa Mawio

JUKWAA la wahahriri nchini (TEF), Limepinga kufungiwa kwa Gazati la Mawio na kuutaka uongozi wa Gazeti hilo kwenda Mahakamani kufungua kesi ya kuiomba mahakama  kubatilisha Uamuzi wa Waziri wa Habari , Utamaduni Sanaa na Michezo Dk, Harrison Mwakyembe.

hilo tamko lilotolewa leo na Mwenyekiti wa Jukwaa hilo  Theopili Makunga ambapo amelitaka Gazeti hilo kuenda mahakani ili lirudishwe mtaani kutokana na klufungia kwa makosa.

No comments