“Wabunge tupimwe kama tunatumia dawa za kulevya” – Kessy
Kamati ya Haki, Maadii na Madaraka ya Bunge iliadhimia kutoa hukumu ya kutohudhuria Vikao vya Bunge kwa Wabunge Halima Mdee na Ester Bulayakwa makosa ya kudharau Bunge ambapo Wabunge walitoa maoni yao na miongoni mwao ni Mbunge wa Nkasi Kaskazini Ally Kessy ambaye amesema utovu wa nidhamu Bungeni umezidi.
No comments