Breaking News

SERIKALI YAPIGA MARUFUKU KUTUMIA PICHA YA MKAPA NA KIKWETE

Serikali imepiga Marufuku matumizi ya picha za Marais  wastaafu wa awamu ya Nne na ya tatu na kuyahusisha na Sakata la Makenikia.

Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Harriso Mwakyembe ametoa tamko hilo leo tarehe 15,Juni.



 

VIDEO:MAZUNGUMZO YA RAIS MAGUFULI NA BOSS WA ACACIA

No comments