Breaking News

Mwakyembe ataja sababu za kulifungia Mawio, asema Kubenea hana elimu na mswahili

Akijibu ni kwa nini amaelifungia gazeti la Mawio amesema kwa sasa wapo kwenye vita ya uchumi, na ambao hawawezi kushiriki mapambano hayo ni magumu na wanahitaji mchango wa kila mtu na wasiotaka kuchangia wanapotosha na kuwachafua marais walioifanyia Tanzania makubwa ili wauze magazeti na hilo haliwezi kuvumiliwa
Amesema walimpa Kubenea nafasi ya kujieleza lakini utetezi wake haukuwa na msingi

Akijibu tuhuma za Kubenea kuwa amelifungia gazeti lake kwa chuki binafsi sababu alishamwandikajuu ya uhusika wake na Richmond amesema Kubenea ana uduni wa elimu, ni mswahili wa ajabu sana na Alishwa mwagiwa tindikali ,Kikwete akamsaidia kumpeleka hospitali India lakini sasa ndio anamshambulia.

Zaidi msikilizie hapa chini

No comments