Magufuli 'Amrushia Madongo' (Lissu) Aliyesema Atashtakiwa Sakata la Mchanga wa Madini..!!!
Magufuli amesema kuna wapinzani wanapinga tu na wanapopinga wana information zao nyingi ila anawahifadhi tu.
Amesema wapo wanaotafuta data wanahangaika weee na kutuma meseji kwa wale anaowatafuta data na kusema eti atashtakiwa, mtu akiwa mwanasheria ataogopa kushtakiwa? Kisha akacheka kwa dharau na kusema subiri siku atakayopokea ripoti ya pili.
No comments