Mzee chifupa amefariki dunia ambaye alikua baba Wa aliyekua mbunge Wa viti maalum (amina chifupa R.I.P) amefaliki dunia, taarifa zinasema kuwa alikua na ugonjwa Wa kiharusi
No comments