Breaking News

Alichosema Dogo Janja kuhusu picha za Ben Pol zenye gumzo

BURUDANI


Story ya Mwimbaji wa R&B Ben Pol ku-upload picha kwenye account yake ya Instagram zinazomuonesha akiwa mtupu na kuwa gumzo kwenye mitandano ya kijamii inaendelea kuchukua sura mpya huku baadhi ya mastaa wamekuwa na maoni tofauti juu ya hilo.

Kupitia The Weekend Chart Show inayorushwa naClouds TV May 19, 2017 staa kutoka BongoflevaniDogo Janja ameeleza hisia zake katika tukio hilo akisema Ben Pol ni shujaa kwa kitu alichokifanya.

>>>“Ben Pol ni shujaa. Mimi nimependa alichokifanya hasa. Role modal wake si John Legend kwa hiyo hata content zake ndio zile japo kwa Ben siwezi ku-judge kitu maana sijui dhamira yake ilikuwa nini. Mpaka sasa hivi nimekuwa mtu wa kufuatilia account yake” – Dogo Janja.

Picha ambazo Ben Pol amepost kwenye ukurasa wake wa Instagram zilizoleta mzozo

No comments