BARUA YA CCM KULAANI TUNDU LISSU KUPIGWA RISASI YAKUTWA NA DOSARI
Hurphrey Polepole
Kufuatia tukio la jana Tundu Lissu kupigwa risasi na watu ambao bado hawajafahamika,Chama Cha Mapinduzi CCM kupitia katibu wa NEC- itikadi na uenezi, Hurphrey Polepole iliandika barua ya kulaani tukio hilo.
Barua hiyo ambayo kimsingi ilitolewa jana terehe 07 Septemba, 2017 imekosewa tarehe ambapo barua imeonesha imeandikwa tarehe 07 Agosti ,2017.
Iangalie hapa chini barua hiyo

No comments