Sergio Romero wa Man United kulikosa kombe la dunia mwaka huu
Ndoto za kila mchezaji ambaye timu yake ya taifa imefanikuwa kufuzu
kombe la dunia, anahakikisha anacheza michuano hiyo ambayo itafanyika
Urusi mwezi Juni mwaka huu.
Hata hivyo baadhi ya wachezaji wameanza kupoteza ndoto hizo akiwemo
golikipa wa Manchester United, Sergio Romero ambaye hatakuwepo tena
kwenye kikosi cha Argentina kufuatia kuumia goti lake la kulia.
Romero amejitonesha jeraha hilo na wakati alipokuwa akifanya mazoezi na timu hiyo ya taifa.
No comments