Breaking News

RATIBA YA LEO JUMANNE APRIL 03-2018, UEFA CHAMPIONS LEAGUE

Ligi ya mabingwa Barani Ulya UEFA Champions League inatarajiwa kuendelea leo Jumanne ya April 3-2018 kwa michezo miwili itakayopigwa kwenye viwanja viwili tofauti.

Habari njema ni kuwa michezo hii itakujia live kupitia nijuzehabarionline.com ifikapo saa 21:45 usiku huu.

Unachopaswa kufanya ili kuweza kutazama live mechi hizi ni kuandaa bando lako na kusubiri muda ufike uweze kutazama mubashara mechi zote za leo.

21:45 Juventus ya Italy wataikaribisha Real Madrid ya Spain

Na mechi ya pili Sevilla ya Spain wataikaribisha Bayern Munich ya Ujerumani saa 21:45

No comments