PSG wanyakua kombe Ufaransa
Wachezaji wa Paris Saint-Germain wakishangilia na Kombe lao la Ligi Ufaransa baada ya ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Monaco usiku wa jana Uwanja wa, mabao ya Edinson Cavani mawili, dakika ya nane kwa penalti baada ya Kylian Mbappe kuchezewa rafu na dakika ya 85 na Angel di Maria dakika ya 21 wakati Nahodha, Radamel Falcao pia alifunga, lakini bao likakataliwa.

No comments