Breaking News

NASA YAHAIRISHA SHEREHE ZA KUMUAPISHA ODINGA

Umoja wa Muungano wa vyama vya upinzani nchini Kenya (NASA), umetangaza kuahirishwa kwa sherehe za kumuapisha kiongozi mkuu wa umoja huo, Raila Odinga na Stephen Kalonzo Musyoka, kama Rais na Makamu wake wa Jamhuri ya Kenya.

Katika taarifa iliyotolewa jana na Muungano huo siku ya jana imeeleza kuwa imeahirisha sherehe hizo hadi itakapotangazwa tarehe hapo baadae.


No comments