Breaking News

RATIBA YA SIMBA SC MZUNGUKO WA KWANZA


Ratiba ya mechi za Simba zilizobaki Mzunguko wa kwanza baada ya kumaliza mchezo wake na Mbeya City huku timu hiyo ikifanikiwa kupata ushindi wa goli 1-0, goli lililofungwa na Shiza Kichuya.

Baada ya mchezo huu ligi itasimama kupisha michezo ya Kalenda ya FIFA na itaendelea tena November 17, 18 na 19.

Simba imebakiza mechi 6 tu kukamilisha mzunguko wa kwanza kabla ya kuanz mzunguko wa pili hapo January 2018.

November 18-2017 Tanzania Prisons itaikaribisha Simba Sc

November 26-2017 Simba itaikaribisha Lipuli Fc

December 02-2017 Ndanda Fc itaikaribisha Simba Sc

December 10-2017 Simba Sc itaikaribisha Singida United

December 16-2017 Kagera Sugar itaikaribisha Simba Sc.

Mechi ya mwisho itakuwa December 31-2017 Simba ikiikaribisha Majimaji.

Hapo timu zitaingia mapumziko ya siku 18 ili kujiandaa kwa awamu  ya pili.

Ligi hiyo itaendelea tena tarehe 19 January 2018 huku Simba ikianza na Ruvu Shooting, Simba watakuwa Ugenini.


No comments