Breaking News

BREAKING NEWS: WATU 17 WAMEOKOLEWA BAADA YA BOTI KUZAMA ZIWA VICTORIA

Watu 17 wameokolewa baada ya boti ya MV Julius kuzama katika ziwa Victoria.Jeshi la Polisi linaendelea kufuatilia kubaini kama kuna waliosahaulika majini. 

Hizi ni taarifa za awali ungana na MSANGULA BLOG kwa habari zaidi

No comments