#VIDEO- CASSO MONTANA AELEZA SABABU ZA KUCHORA TATOO YA ROSE NDAUKA KATIKA MKONO WAKE
Msanii wa bongo fleva Casso Montana amefunguka na kuzungumza haya na Masangula tz kuhusu kuchora tatoo ya mwanadada Rose ndauka huku akiacha maswali mengi kwa wanamzengo
Masangula tz - kilichokufanya hadi ukachora tatoo ya Rose ndauka katika mkono wako ni nini? maana wana mzengo wanashindwa kuelewa inasemekana mnachoraga tatoo alafu mambo yakiharibika mnaangaika kufuta
#VIDEO; msikie hapa Casso montana
No comments