UKIBISHA KAPAMBANE NA KULIPA MISHAHARA WACHEZAJI WAKO
Mkuu wa idara ya habari na mawasiliano wa club ya Simba Haji Manara ni moja kati ya viongozi na wapenzi wa soka wanaojiamini sana na mara nyingi amekuwa akipenda kuandika post za utani kwa wapinzani wao Yanga.
Haji Manara usiku huu kutoka katika instagram account yae ameandika ujumbe akiwa kapost picha ya kikosi cha Simba kuwa kwa sasa Simba ndio Brand maarufu zaidi nchini kuliko zote, unaweza andika comment yako hapo chini.
“Simba ni klabu ya watu (Peoples Club)watu wa jinsia zote, dini zote, makabila na rangi zote, vyama vyote na ndio maana kwa sasa inatajwa kuwa Taasisi maarufu kupita zote nchini, ukibisha kapambane na kulipa mishahara wachezaji wako”>>> Haji Manara
No comments