UJUMBE WA EBIROKE KWA BEN POL KWENYE BIRTH DAY YAKE
Ni vizuri kumuandikia ujumbe mtu wako wa karibu anapokuwa anasherehekea siku yake ya kuzaliwa ili kumuonyesha jinsi unavyomjali.
Ebitoke ametumia vizuri nafasi hiyo kwa kumwandikia ujumbe muhimu kupitia mtandao wa Instagram, Ben Pol ambaye pia anadaiwa kuwa na mahusiano naye japo yamekuwa na mashaka kwa watu wengine.
“Help me wish my handsome! #HappyBirthday #HappyNewAge @iambenpol #Kidume #Bentoke,”ameandika Ebitoke kwenye mtandao huo.
No comments