Breaking News

TUNDU LISSU ANAENDELEA VIZURI


Kwa mujibu wa vyombo vya habari vya Tanzania Lissu alipigwa risasi za tumboni na miguuni.
Makamu Mwenyekiti wa Chadema Profesa Abdallah Safari amesema kwamba Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema) Tundu Lissu anaendelea kupata matibabu nchini Kenya.
Profesa Safari, amesema Lissu anapatiwa matibabu hospitali ya Aga Khan ya mjini Nairobi, na kwamba anaendelea vizuri.             KUTOKA NAIROBI KENYA
Lissu mwenye umri wa miaka 49 alishambuliwa wakati alipokuwa akifika nyumbani kwake mjini Dodoma akitokea katika vikao vya bunge.

No comments