Mabasi ya mwendokasi yamegongana yenyewe kwa yenyewe hapa maeneo ya Shekilango. Huduma imesimama kwa muda sababu barabara ya Mwendo kasi ni nyembamba. Ajali hii imetokea leo Asubuhi:
No comments