Breaking News

LIGI KUU: LIVE UPDATES KUTOKA CHAMAZI ,KIPINDI CHA PILI AZAM 0 -0 SIMBA


>mpira umekwisha hapa uwanja wa azam Chamaz Azam 0 Simba 0


>dakika ya 44 mo wanakosa goli na azam wanafanya shambulizi golini kwa simba


>dakika ya 34 simba wanafanya makosa wanakosa goli


>dakika ya 31 azam wanakosa goli


>dakika ya 23 simba inafanya mabadiliko

 

>dakika ya 18 azam wanakosa goli


>dakika ya 10 azam wanashambulia lango la simba na wanakosa goli la wazi kabisa


>dakika ya 5 simba wanafanya mashambulizi kwenye goli LA azam fc


>dakika ya 1 kipindi cha pila mambo bado magumu sio simba wala azam


>dakika 45 za mwanzo zimemalizika bado azam 0 simba 0


>dakika ya 41 kichuya anakosa goli LA wazi kabisa


 >dakika ya 38 bado hakuna aliyeona lango LA mwenzake 


>dakika ya 32 Azam anashambulia lango LA simba azam 0 simba 0


>dakika ya 31 bado mambo magumu kwa azamu


>dakika ya 17 bado bilabila

> kichuya  anashambulia kwenye goli la Azam

>Dakika ya tano,SIMBA wanashambulia kwa kasi lango la AZAM

>Dakika ya 3 bado bilabila

>Naaaaam mpira umeanza 

>Timu zimerudi kwenye vyumba  vya kubadilishia nguo kujiandaa kwa ajili ya kuanza mchezo

>Muda huu timu zote mbili zipo uwanjani kupasha misuli kabla ya mchezo

HIVI HAPA VIKOSI VYA TIMU ZOTE MBILI

KIKOSI.CHA SIMBA 

1.Aishi Manula,
 2.Ally Shomary,
 3.Erasto Nyoni
4.Salumu Bonde,
 5.Method Mwanjale,
6.James Kotei, 
7.Haruna Niyonzima ,
 8.Muzamiru Yassin,
 9.John Bocco,
10 Nicholus Gyan, 
11.Shiza Kichuya

Akiba

1.Emanuel Mseja

2.Yusuph Mlipili

3.Mohamedi Hussein

4.Mohamedi Ibrahimu 

5.Laudit Mavugo

6.Saidi Ndemla

7.Mwinyi Kazimoto


KIKOSI CHA AZAM

1. RAZAK ABALORA

2. DANIEL AMOAH

3. BRUCE KANGWA 

4. AGGREY MORRIS

5. YAKUBU MOHAMED

6. STEPHAN KINGUE

7. HIMID MAO

8. SALUM ABUBAKAR

9. YAHYA MOHAMMED

10. MBARAKA YUSUPH

11. ENOCK ATTA AGYEI

Akiba

1. MWADINI ALLY

2. DAVID MWANTIKA 

3. BRAISON RAPHAEL

4. FRANK DOMAYO

5. YAHYA ZAYD

6. RAMADHAN SINGANO

7. IDD KIPANGWILE


No comments