Breaking News

HIKI NDICHO ALICHO AMBIWA OMOG NA HAJI MANARA

Baada ya headlines za uvumi wa muda mrefu kutokana na sare tasa ya Simba vs Azam FC katika uwanja wa Azam Complex Mbande Chamazi, zilianza stori kuwa uongozi wa Simba SC unataka kumfuta kazi kocha wao raia wa Cameroon Joseph Omog ikidaiwa kuwa uwezo mdogo.
Mkuu wa idara ya habari na mawasiliano wa club ya Simba Haji Manara September 18 2017 ameongea na vyombo vya habari na kueleza kuhusu msimamo wa uongozi.
“Tumepata point tatu ambazo zitatufanya tuendelea kusonga mbele, cha mwisho kuhusu kocha Omog ameongea na Rais wa Simba Salim Abdallah na amemwambia kuwa ana imani nae”>>> Haji Manara
        
          VIDEO

No comments