Breaking News

EMMANUEL MBASHA; TUHUMA NAZOPEWA SIO ZA KWELI






Mbasha amesema tuhuma hizo ni uongo na anachukia watu wanaotengeneza habari hizo na kusema kuwa yeye hapendi kwani watu wenye stori za namna hiyo ni wasanii wa bongo fleva.

“Sio kweli hivyo vitu ni vya uongo nakanusha kabisa hivi kwa nini vitu vingi vinaongelewa vya uongo! alafu mimi sipendi, huu uongo uongo ni vitu vya bongo fleva, mimi sipo kwenye kutafuta kiki wala kuongelea vitu ambavyo havina faida” amesema Emmanuel Mbasha.

Siku za hivi karibuni kumekuwa na tuhuma za Mbasha kuwazalisha wanawake wawili tofauti na kuwatelekeza

No comments