Breaking News

POLISI KUMTIA NGUVUNI RAIS MSTAAFU BANDA

MALAWI: Polisi wametoa kibali cha kukamatwa kwa Rais Mstaafu Joyce Banda kufuatia tuhuma za matumizi mabaya ya madaraka na kutakatisha fedha.

Banda aliyekuwa Rais wa nchi hiyo tangu mwaka 2012 hadi 2014, aliondoka nchini humo Septemba 2014 ikiwa ni miezi michache kabla ya kufanyika uchaguzi mkuu uliomweka madarakani Rais wa sasa, Peter Mutharika. Mpaka sasa Banda hajawahi kurudi tena nchini mwake.

 

 

No comments