Breaking News

REAL MADRID YASAJILI BEKI LA ATLETICO MADRID


Beki Theo Hernandez akiwa amepozi na jezi za Real Madrid Uwanja wa Santiago Bernabeu baada ya kusaini mkataba wa kujiunga na timu hiyo kutoka Atletico Madrid. Mfaransa huyo hakuwahi kucheza kikosi cha kwanza timu ya Diego Simeone, lakini msimu uliopita alifanya vizuri akiwa anacheza kwa mkopo Alaves 

No comments