Arsenal yaingia kambini kwaajili ya msimu mpya wa ligi 2017/18
Klabu ya Arsenal inayoshiriki ligi kuu nchini Uingereza imeingia kambini rasmi kwa ajili ya msimu mpya wa ligi 2017/18.
Kikosi hiko kinachoingia kambini kimesheheni vina wadogo kutoka timu B akiwemo, Cohen Bramall, Eddie Nketiah, Joseph Willock pamoja na mchezaji mpya aliesajiliwa majira haya ya kiangazi Sead Kolasinac,
Huku wachezaji Alex Sanchez, Hector Bellerin na Shkodran Mustafi wakiwa bado hawajaripoti kambini kutokana na kuwepo katika timu zao za taifa zinazoendelea kushiriki michuano mbali mbali barani Ulaya.
No comments