Rose Muhando Akamatwa na Polisi Singida

Jeshi la Polisi linamshikilia mwimbaji wa nyimbo za injili, Rose Mhando akituhumiwa kujipatia fedha kwa njia za udanganyifu.

Rose Mhando anadaiwa kupokea shilingi laki 8 kwa makubaliano ya kushiriki uzinduzi wa kwaya ya ACT lakini hakutokea, kabla ya uzinduzi huo alipokea 150,000 kama nauli ya kutoka Dodoma kwenda Singida.

No comments