Breaking News

Rais Magufuli Atuma Salam za Rambirambi Kufuatia Kifo cha Ally Yanga


Rais Dkt. John Pombe Magufuli ametuma salam za rambirambi kwa wanafamilia, wanachama wa CCM, uongozi wa Yanga na wanamichezo wote kufuatia kifo cha Ali Mohamed maarufu kama Ali Yanga aliyefariki ajalini Dodoma jana.


No comments