Prof. Tibaijuka Atoa Onyo kwa Wanaopotosha Kauli Yake ya 'Unavyopanua Zaidi Watu Wanazidi Kutamani'...!!!!
Mbunge wa Muleba Anna Tibaijuka ametoa onyo kwa watu wanaopotosha kauli yake na kukata vipande vifupi vya video na kuharibu maana ya aliyokuwa anamaanisha kwa mchango wake bungeni
Amesema kufanya hivyo ni kosa kisheria na watu wanafanya hivyo makusudi ili ujumbe aliokuwa amedhamiria kuufikisha usifike na kuwatupia lawama wapinzani ndio walifanya hivyo na kuwataka watu watafute hotuba yake yote
Amerudia tena anataka umeme upanuliwe na kama neno panua halitumiki tena basi msamiati mwingine utafutwe
No comments